Jarida La Ujasusi - Toleo La Pili: Dondoo 8 Muhimu Za Kijasusi Zinazoweza Kukuokoa Katika Zama Hizi za #WatuWasiojulikana.'
Tanzania inapitia katika nyakati hatari ambapo kumekuwa na ongezeko kubwa la matukio ya watukuchukuliwa na “watu wasiojulikana.” Japo kundi hilo la “watu wasiojulikana” halifahamiki (na ndio maana linaitwa hivyo) takriban mara zote limekuwa likitumia mbinu zinazoshabihiana, ambapo kuna dalili japo kidogo za ujasusi. Ni kwa mantiki hiyo, makala hii fupi …