Jarida La Ujasusi - Toleo La 8: [Soma Bure] Zimebaki Siku 99 Kabla Ya Uchaguzi, #JaridaLaUjasusi Leo Laanza 'Countdown' Kwa Tathmini, Ubashiri, Polls, Mahojiano Kuhusu Urais na Ubunge [#TumiaVPN Link Ikigoma]
Hili ni toleo la bure kwa kila msomaji. Zikiwa zimesalia siku 99 tu kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumapili ya mwisho ya mwezi Oktoba mwaka huu, jarida hili la ujasusi linakuletea ‘COUNTDOWN’ itakayoambana na mahojiano na wagombea na/au wadau wengine wa siasa za Tanzania, tathmini/uchambuzi kila wiki au kila linapojiri tukio muhimu, kura …