Jarida La Ujasusi - Toleo La 27: Shirika La Ujasusi La Israeli, MOSSAD, Lapata Bosi Mpya
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemtangaza veterani wa shirika la ujasusi la nchi hiyo, Mossad, kuwa mkuu mpya wa taasisi hiyo yenye ufanisi wa hali ya juu.
Mkuu huyo mpya ni David Barnea mwenye umri wa miaka 56, ambaye kwa muda mrefu amekuwa naibu mkuu wa shirika hilo. Anarithi nafasi ya Yossi Cohen (pichani chini) ambaye utawala wake umekuwa …
Keep reading with a 7-day free trial
Subscribe to Ujasusi Blog to keep reading this post and get 7 days of free access to the full post archives.