Kabla ya kuingia kwenye mada naomba kuomba radhi kutokana na jarida hili kutokuwa hewani kwa takriban wiki 3 hivi. Hii ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.
Pia naomba kuahidi kuwa nitawatumia mwendelezo wa Kozi Ya Udukuzi wa Maadili kwa Lugha Ya Kiswahili katika wiki inayoanza kesho.
Twende kwenye mada. Jana nilitwiti
K…


