Utangulizi:
Zimesalia siku 50 kabla Watanzania hawajapiga kura kumchagua Rais wa serikali ya Awamu ya Sita hapo Oktoba 28 mwaka huu. Kadhalika, leo ni wiki ya pili kamili tangu kuanza rasmi kwa kampeni za urais, ubunge na udiwani hapo Agosti 26.
Walengwa:
Walengwa wakuu katika tathmini hii ni kama ifuatavyo
👉John Magufuli na chama chake cha CCM
👉Tundu Li…


