Utangulizi:
Hatimaye jana Julai 27 ya mwaka huu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu alirejea Tanzania baada ya kuwa nje ya nchi kwa talriban miaka mitatu. Mwanasiasa huyo machachari, alilazimika kwenda nje kwa ajili ya matibabu kufatia jaribio la kuuawa kwake lililotokea Septemba 7 mwaka 2017. Katika tukio hilo la kinyama, Lissu alimwagiwa “mvua …


